
MSANII wa filamu Bongo, Jaji Khamis ‘Kashi’ amesema hakwenda nchini Afrika Kusini kujiuza kama ambavyo watu wasiopenda maendeleo yake wanamzushia.
Akichonga na gazeti hili juzikati, Kashi aliyekuwa nchini humo alisema amekwenda kwa shughuli zake za kibiashara na kazi zake za filamu na si vinginevyo.
No comments:
Post a Comment