Tanzanian Muslim Community Washington Metropolitan (TAMCO) jana Jumapili katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani walifuturisha pamoja na kuwaombea Dua Jamaa wote waliotangulia mbele ya haki.
Waumini wakiwa katika futari iliyoandaliwa na Jumuiya ya Kiislamu, katika ukumbi wa Hillandale Local Park, New Hampshire Avenue, Silver Spring Maryland nchini Marekani.
Waumuni wakisoma dua pamoja na futari hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Hillandale Local Park New Hampshire Avenue, Silver Spring Maryland. Siku ya Jumapili Agosti 5, 2012.
No comments:
Post a Comment