Posted: 26th October 2012 by MillardAyo in News
Dj
Frank Jez ni mtanzania ambae aliondoka Tanzania kwenda Ireland kusoma
miaka ya 90 na baadae akaamua kuishi huko na kuanza kuwa Dj, mpaka sasa
ameshaandaa na kufanya show na mastaa mbalimbali wa muziki duniani.
No comments:
Post a Comment