Tuesday, October 16, 2012

KATIBU MKUU WA CCM AWAPONGEZA WANA CCM KATA YA MSASANI

KATIBU Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akihutubia katika hafla ya wana CCM wa Kata ya Msasani, Dar es Salaam, kupongezana kwa kukamilisha uchaguzi katika kata yao, uliofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club, jana. Kushoto ni Menyekiti wa CCM wa kata hiyo, Daudi Othmani.
KATIBU Mkuu wa CCM Wilson Mukama akimkabidhi cheti cha ushiriki katika shughuli mbalimbali za ujenzi wa Chama, Kijana wa UVCCM, Mwanaidi Mapunda wakati wa sherehe ya kupongezana wana CCM wa Kata ya Msasani, Dar es Salaam, kwa  kukamilisha uchaguzi katika kata yao, iliyofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club, jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM, Kata ya Msasani Daudi Othmani.
KATIBU Mkuu wa CCM Wilson Mukama akimkabidhi cheti cha ushiriki katika shughuli mbalimbali za ujenzi wa Chama, Kamanda wa UVCCM Kata ya Msasani, Dk. Suleiman Mohammed, wakati wa sherehe ya kupongezana wana CCM wa Kata ya Msasani, Dar es salaam, kwa  kukamilisha uchaguzi katika kata yao, iliyofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club, jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa kata hiyo, Daudi Othmani.
KATIBU Mkuu wa CCM Wilson Mukama akiwaaga wana-CCM, baada ya kushirikiiriki katika sherehe ya kupongezana wana CCM wa Kata ya Msasani,Dar es Salaam,  kwa  kukamilisha uchaguzi katika kata yao, iliyofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club, jana.

No comments:

Post a Comment