Monday, January 21, 2013

DK MWAKYEMBE AWATIMUA KAZI WAKURUGENZI WA BANDARI LEO


 Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe (kulia) akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo wakati akitangaza maamuzi yaliyofikiwa na Bodi ya Wakurugenzi ya kuwafukuza kazi Viongozi wa Bandari kwa shutuma mbalimbali. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu – Wizara ya Uchukuzi, John Mngodo na katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Mhandisi Omar Chambo.
Dk. Mwakyembe akiongea na wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maamuzi yaliyofikiwa na Bodi ya Wakurugenzi juu ya shutuma mbalimbali za Viongozi wa Bandari.
(Picha kwa hisani ya FATHER KIDEVU BLOG)

No comments:

Post a Comment