PRODYUZA mkongwe Bongo, Musa Banzi amegombana na staa wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ kwa kumtosa kuweka picha yake kwenye kalenda aliyoiandaa.
Alipotafutwa Odama kuhusu ishu hiyo, alikiri kutokea kwa kutoelewana kati yao lakini wameyazungumza na kuyamaliza.
“Alisahaulika bahati mbaya kwa sababu idea ilikuja ghafla nikasahau kuweka picha ya Musa lakini hata hivyo tulishalizungumza suala hilo na sasa tunafanya kazi yetu ya Close The River,” alisema Odama.
No comments:
Post a Comment