Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete (katikati, mbeke) akiwa katika picha ya pamoja na askari 30 aliowatunuku nishani mbalimbali, ikiwa ni moja ya shamrashamra ya kuadhimiasha miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Ikulu, Dar es Salaam Rais Kikwete akiwa na askari waliotunukiwa Nishani ya Utumishi Mrefu Tanzania Rais Kikwete katika picha ya pamoja na askari waliotunukiwa Nishani ya Utumishi Mrefu na Tabia Njema Rais Kikwete katika picha ya pamoja na askari waliotunukiwa Nishani ya Utumishi Mrefu JK akiwa katika ya pamoja na askari waliotunukiwa Nishani ya Ushupavu Rais Kikwete akiwa na wajumbe wa kamati ya Nishani
No comments:
Post a Comment