Sunday, August 12, 2012

CHRISTOPHER NYANYEMBE ATEULIWA KUONGOZA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOANI MBEYA


Mwenyekiti mpya wa Mbeya Press Club, ndugu Christopher Nyanyembe (aliyesimama) akitoa shukrani zake.
Christopher Nyanyembe akipongezana na mpinzani wake, baada ya ushindi. Christopher alishinda kwa kura 27.
Waandishi wa habari wakiwapongeza viongozi wapya.
Kamati Kuu Iliyochaguliwa kuendesha Mbeya Press Club, akiwemo mwandishi mkuu wa Mbeya Yetu Blog,  Ndugu Joseph Mwaisango (wa kwanza kulia waliosimama) ikiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment