M4C KUTUA IRINGA MJINI KESHO***M4C ARRIVING TOMORROW IRINGA URBAN.
Kesho chadema tunatarajia kufanya mkutano mkubwa wa vugu vugu la
mabadiliko (M4C) hapa mjini iringa, mkutano unaotarajiwa kufanywa katika
viwanja vya Mwembetogwa, Saa 8 mchana. wananchi wote mjitokeze kwa
wingi bila kukosa.
No comments:
Post a Comment