Posted: 30th September 2012 by MillardAyo in News
Jaffarai Jaffarymz ambae ni mwanafamilia kwenye ukoo wa Bongo
Fleva ameanza kuifanya biashara yake ya Car wash aliyoifungua rasmi
jana jumamosi september 29 2012 Mikocheni Dar es salaam Oil Com mkabala
na hospitali ya TMJ ambapo alitumia miezi mitatu kuipata hiyo sehemu.Mtaji alioutumia hauzidi milioni kumi za kitanzania, ni mtaji ambao muziki umechangia asilimia 70 au 80 ya pesa ambazo alianza kuzikusanya kutokana na muziki toka 2003, hiyo ni kutokana na showz pamoja na mauzo ya ringtones.
Namkariri akisema “nilikua nataka kufanya kitu tofauti na wasanii wengine, utasikia flani ana duka, flani ana duka, flani ana duka… nitakua kwenye biashara nzuri, naweza kuhandle biashara ya kuosha magari kwa sababu watu wengi wanaonizunguka wanamagari
No comments:
Post a Comment