Tuesday, October 2, 2012

TASWIRA ZA BASI LA DAR EXPRESS LIKITEKETEA KWA MOTO LEO ASUBUHI


Basi la Dar Express lililokuwa likitokea Arusha kwenda Dar likiteketea kwa moto eneo la Segera, mkoani Tanga leo asubuhi. Abiria wote 65 wamenusurika.
(Picha zote na Tanga Yetu Blog)

No comments:

Post a Comment