MKALI wa sinema za Kibongo, Jacquline Wolper amefunguka kuwa anaogopa kuzaa kwa sasa kwani bado hajajipanga sawasawa.
Akizungumza na paparazi wetu, Wolper alifafanua:
“Naogopa kuharakisha kuzaa, nisije nikazaa halafu mtoto akawa chokoraa, acha nijipange kwanza"
“Naogopa kuharakisha kuzaa, nisije nikazaa halafu mtoto akawa chokoraa, acha nijipange kwanza"
No comments:
Post a Comment