CHADEMA YAZIDI KUCHANJA MBUGA CHALINZE
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Issa Said Mohamed akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Miono, katika mkutano wa kampeni, uliofanyika kijijini hapo.
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Miono wakiitikia kauli mbiu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ya "Peoples Power" wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Miono.
Kiongozi Mkuu wa kimila wa Wamasai, Tikwa Moreto (kushoto), akiongozana na mgombea wa ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey (kulia) na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Issa Saidi Mohamed walipokwenda nyumbani kwake kwa ajili ya kuomba baraka zake.
Kiiongozi wa kimila wa Wamasai, Tikwa Moreto (aliyeketi), akishiriki kumwombea mgombea wa ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey (wa tatu kushoto), nyumbani kwa kiongozi huyo kijiji cha Gumba, Kibaha Vijijini.
No comments:
Post a Comment