Saturday, April 5, 2014

HABARI PICHAZ..MAMBA MLA WATU AKAMATWA ZIWA VICTORIA..JIONEE MWENYEWE HAPA...!

Mamba aliekua akiishi katika ziwa Victoria mwenye umri wa miaka 80, mwenye uzito unaokadiriwa kukaribia tani moja amekamatwa katika ziwa Victoria upande wa Uganda ni baada ya wananchi kulalamika kuhusu mamba huyo anayekula watu, huku akikadiriwa kuwa ameshakula watu wasiopungua sita mpaka kukamatwa kwake.

No comments:

Post a Comment