Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Askofu Mkuu Mstaafu, Dr. Donald Mtetemela (kushoto) na Spika wa Bunge, Anne Makinda wakiteta Bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2014.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Waziri wa Ujenzi, John Magufuli akiapa mbele ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu (kushoto), Bungeni Mjini Dodoma Aprili 4, 2014.
Wajumbe wa Bunge Maalum la katiba, Waziri Mkuu Msaafu, Edward Lowassa na Joshua Nassari wakiteta, Bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2014.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa (kulia) na Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Ibrahim Lipumba wakiteta, Bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2014.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment