Friday, September 21, 2012

VODACOM INAKULETEA OFA KABAMBE WIKIENDI HII...

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania inatoa Ofa kabambe  wikiendi hii kuwawezesha wateja wake kupata simu za mkononi za bei nafuu zaidi. Mteja anaweza kupata Nokia E52 kwa bei nafuu kabisa ya Tsh 180,000/= tu na Intaneti ya BURE ya kutumia kwa siku 30 na uokoe Tsh 250,000/= kwa wale waliopo mikoani msikubali kupitwa na Ofa hii  mnaweza kuwasiliana na ndugu zenu waliopo hapa mjini na  kuwatumia pesa kwa njia ya M-Pesa ili waweze kuwanunulia simu hizi na kuweza kunufaika nazo, Kama haitoshi Vodacom inakueleza nunua ZTE Tablet V9 kwa bei nafuu kabisa ya Tsh 300,000/= na upate Intaneti ya BURE ya kutumia kwa siku 30 na uokoe Tsh 286,000/=. Tafadhali  tembelea Vodacom shop Mlimani City Dar es Salaam mujipatie Ofa hizo kuanzia Ijumaa ya leo tarehe 14 Septemba 2012 hadi Jumapili hii tarehe 16 Septemba 2012.

No comments:

Post a Comment