Sunday, October 21, 2012

MAJAMBAZI WAVAMIA KAMBI YA JWTZ


Jenerali Davis Adolf Mwamunyange
Habari zilizotufikia kabla hatujaenda mitamboni  zinasema kuwa  mtu mmoja anaedaiwa kuwa ni jambazi  wakiwa na wenzake waliingia katika kambi ya JWTZ 511 KJ bohari kuu ya kijeshi iliyopo Gongolamboto  jijini Dar es Salaam kwa lengo la kutaka kupora silaha askari waliokuwa ulinzi ndani ya kambi hiyo.
Kutokana na  purukushani ya tukio  hilo mmoja wa majambazi hayo aliuwawa na wananchi wenye hasira kali.
HBR PICHA HARUN SANCHAWA

No comments:

Post a Comment