Sunday, October 21, 2012

Naibu waziri wa Maliasili na Utalii atembelea Mazoezi ya Miss. Utalii Dodoma 2012

Naibu Waziri wa maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu alipotembelea Mazoezi ya Miss. Utalii Dodoma juzi na kuwapa nasaha warembo wanaoshiriki mashindano hayo yatakayofanyika Tarehe 09 November, 2012 katika ukumbi wa Royal Village Hotel.

No comments:

Post a Comment