MAKAMU WA RAIS DKT. GHALIB BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA ALIYEKUWA MBUNGE WA TABORA MJNI SIRAJU KABOYONGA
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Galib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Tabora mjini, Siraju Kaboyonga, aliyefariki dunia juzi na kuzikwa jana jijini Dar es Salaam. Dkt Bilal alifika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Sinza jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Balozi Mstaafu, Hashim Mbita na Mwenyekiti wa Chama cha Cuf, Prof. Ibrahim Lipumba.
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Galib Bilal akiagana na waombolezaji wakati akiondoka eneo hilo.
(Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment