
Rais Kikwete akiwapungia mamia ya wananchi wa Igunga katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa Barafu mjini Igunga leo.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya wananchi wa Igunga katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa Barafu mjini Igunga baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Ndutu pamoja na mradi mkubwa wa maji utakaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga leo.

Rais Kikwete akisalimiana na mamia ya wananchi wa Igunga waliohudhuria mkutano huo leo.


Mamia ya wakazi wa Igunga waliohudhuria mkutano huo leo.
(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment