Sunday, April 14, 2013

MANCHESTER CITY YAILAZA CHELSEA, YATINGA FAINALI FA


Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero, akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dhidi ya Chelsea leo wakati wa mchezo wao wa nusu fainali ya kombe la FA kwenye Uwanja wa Wembley jijini London.
Samir Nasri akiifungia Manchester City bao la kwanza katika dakika ya 34 ya mchezo dhidi ya Chelsea. Man City wameshinda kwa bao 2-1.
Mshambuliaji mahiri wa Chelsea, Demba Ba (29), akiifungia timu yake bao pekee wakati wa mchezo wao wa nusu fainali dhidi  ya Manchester City kwenye Uwanja wa Wembley jijini London.
(PICHA: PA, EPA NA GETTY IMAGES)

No comments:

Post a Comment