Thursday, January 10, 2013

WAFANYAKAZI KIWANDA CHA KUTENGENEZA MAGUNIA WAPAMBANA NA WALINZI WAO MKOANI MORO


Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha kutengeneza magunia kilichopo eneo la Viwanda, Kihonda mkoani Morogoro wakipambana vikali na walinzi wa kiwanda hicho ambao waliwazuia wafanyakazi hao na waandishi wawili wa habari kuingia ndani leo.
Mmoja wa wafanyakazi wa kiwanda hicho aliyefahamika kwa jina la Manka Mushi ambaye alionekana kuwa mstali wa mbele kutetea maslahi yake na ya wenzake akiwa chini ya ulinzi baada ya kuruka ukuta wa kiwandani hapo.
Wafanyazi hao wakishangilia baada ya kuwaona wanahabari (akiwemo mwandishi wa mtandao huu) na kuamua kulisukuma geti ili wanahabari waweze kuingia kufanya kazi yao.
Wafanyakazi hao wakiingia ndani ya kiwanda.
KWA MAELEZO ZAIDI NA PICHA TEMBELEA: DUSTAN SHEKIDELE BLOG

No comments:

Post a Comment