Breaking news - Edinson Cavan amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea Napoli na kuzima uvumi wa kutaka kujiunga na Chelsea.
![]() |
| Golikipa Hugo Lloris wa Lyon amekamilisha vipimo vya afya na Tottenham na muda mchache ujao itatolewa taairfa kuhusu ukamilishaji wa uhamisho wake. |
![]() |
| Nigel De Jong ameondoka rasmi Manchester City na kujiunga na AC Milan kwa ada ya uhamisho ya £3.4million |
![]() |
| Gael Kakuta ameenda kwa mkopo Vitesse Arnhem kutokea Chelsea |
![]() |
| Ryan Babel mchezaji wa zamani wa Liverpool, amerudi timu yake ya utotoni Ajax akitokea Hoffenheim |
Gael Kakuta
![]() |
| Hatimaye Dimitar Berbatov amehamia rasmi Fulham kutoka Manchester United kwa ada ya £5million |
![]() |
| Mchezaji wa kimataifa wa Brazil Douglas Maicon amesajiliwa kutoka Inter Milan kwenda Manchester City |
![]() |
| Charlie Adam amejiunga na Stoke City City akitokea Liverpool kwa ada ya £4MILLION |
![]() |
| Andy Carroll amejiunga na West Ham kwa mkopo wa mwaka mzima |
![]() |
| Rafael Van Der Vaart amejiunga na Schalke akitokea Tottenham Hotspur |
![]() |
| Pablo Hernandez amejiunga na Swansea City akitokea Valencia ya Spain |
![]() |
| Scott Sinclair amekamilisha uhamisho wake kutoka Swansea na kuhamia kwa mabingwa wa England Man City |
![]() |
| Nicklas Bendtner amehama Arsenal na kwenda kujiunga na Juventus ya Italia |














No comments:
Post a Comment