Mratibu wa Usalama na Afya
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kassena Heavy, akiwaeleza jambo wachezaji
na viongozi wa klabu ya Simba waliotembelea kiwanda cha TBL kilichopo
Arusha mwishoni mwa wiki ili kujionea uzalishaji wa bia ya Kilimanjaro
Premium Lager ambayo ndio mdhamini wao mkuu. |
No comments:
Post a Comment