SHAMRA SHAMRA ZA MKUTANO WA CHADEMA LONDON LEO
Haya ni maandalizi ya mkutano wa ufunguzi wa tawi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) utakaofanyika jijini London leo. Tawi hilo litafunguliwa na Mheshimiwa Godbless Lema saa 2 usiku. Katika mkutano huo, pia watachaguliwa viongozi mbalimbali wa Chadema tawi la London.
No comments:
Post a Comment