Monday, September 24, 2012

Benki ya Barclays yazindua Huduma ya Premier

Mkurugenzi wa Bidhaa na Huduma za reja reja wa Benki ya Barclays, Zahid Mustafa (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa, Neema Rwehumbiza wakionyesha kadi ya ATM Platinum itakayotumiwa na wateja wakuwa wa benki hiyo wakati wa uzinduzi wa huduma ya Barclays Premier ya wateja hao jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Barclays, Tun

No comments:

Post a Comment