Saturday, September 1, 2012

CHEMSHA BONGO: UNAIJUA HISTORIA YA MTI HUU NA UKO WAPI!

Hili ni shina la mti maarufu, je unajua liko wapi na nini historia yake? Tutumie maoni yako na wa kwanza kutuma comment sahihi atajipatia muda wa maongezi wa shilingi elfu tano popote alipo nchini Tanzania!

No comments:

Post a Comment