MKUTANO WA ASASI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI YA KUSINI MWA AFRIKA (SADC TROIKA)
Katibu Mtendaji wa SADC, Dkt Tomaz A. Salomao akitoa maelezo kabla ya kuanza kikao.
Kuanza kwa kikao cha Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika (SADC TROIKA).(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment