BENKI YA BARCLAYS YAANDAA SEMINA KWA WATEJA WAKE JIJINI DAR LEO
Makamu Mkuu wa ‘Street University’ na Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo akizungumza katika semina iliyoandaliwa nabenki ya Barclays Tanznaia kwa ajili ya wateja wenye akaunti za biashara jijini Dar es Salaam leo.
Eric Shigongo akisisitiza jambo.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara Rejareja cha Benki ya Barclays Tanzania, Abdul Juma (kulia) akisalimiana na Makamu Mkuu ‘StreetUniversity’, Eric Shigongo ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, katika semina iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajiliya wateja wenye akaunti za biashara jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa ‘Street University’, James Mwang’amba. Mkuu wa Kitengo cha Biashara Rejareja cha Benki ya Barclays Tanzania, Abdul Juma akizungumza katika semina iliyoandaliwa na benkihiyo kwa ajili ya wateja wenye akaunti za biashara jijini Dar es Salaam leo. Mussa Kitoi akizungumza katika semina iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wenye akaunti za biashara jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia semina hiyo. Mmoja wa washiriki wa semina iliyoandaliwa na Benki ya Barclays Tanzania kwa ajili ya wateja wake wenye akaunti za biashara, HelenBomani Mkurugenzi wa Kampuni ya W.O.B Ltd ambao ni wasambazaji wa vivywaji vya Serengeti Breweries (SBL) akijitambulisha katika semina hiyo jijini Dar es Salaam leo. Mkuu wa Kitengo cha Biashara Rejareja cha Benki ya Barclays Tanzania, Abdul Juma (kulia) akizungumza na Mkuu wa ‘StreetUniversity’, James Mwang’amba katika semina iliyoandaliwa na benki hiyo kwa jili ya wateja wenye akaunti za biashara jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment