Friday, October 5, 2012

MPAMBANO WA RAJABU MAOJA (TANZANIA) NA GOTLLIEB NDOKOSHO (NAMIBIA) KATIKA PICHA


Bingwa mpya wa IBF Africa, Gottlieb Ndokosho akinyanyua mkanda wa ubingwa baada ya kumtwanga Maoja.
Bondia Maoja akipigwa konde la nyonga na mpinzanai wake katika raundi ya kwanza lililompeleka chini.
Rais wa IBF, Onesmo Ngowi (kushoto) akimvika mkanda wa ubingwa Ndokosho.
Picha na: Uongozi IBF Dar-Es-Salaam, Tanzania

No comments:

Post a Comment