Saturday, November 17, 2012

JORDIN SPARKS AZINDUA PAFYUMU YA PILI


Mwana dada Jordin Sparks hivi karibuni amezindua pafyumu nyingine
Hollywood, Marekani
MKALI wa R&B, Jordin Sparks hivi karibuni amezindua pafyumu nyingine ikiwa ni zao lake la pili na kuipa jina la Ambition.
Kutokana na kujituma huku kwa kufanya biashara, Jordin amekuwa kivutio kwa mpenzi wake, Jason Derulo mwanaume ambaye hupenda mwanamke anayejishughulisha zaidi na kujiongezea kipato.
Wadau wanaopenda kujipulizia marashi walisema kuwa, pafyumu hiyo aliyotoa mwanamuziki huyo inanukia vizuri sana.
Manukato hayo yamechanganywa na majani meupe yakiwemo mnanaa na matunda mbalimbali.

No comments:

Post a Comment