RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA UKUMBI NA MAJENGO YA MAKAO MAKUU YA CCM MJINI DODOMA
Rais Jakaya Kikwete akipokea hati ya Kiwanja kitakachotumika kujenga, Ukumbi, Ofisi za Makao Makuu na Hotel ya hadhi ya nyota tano kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CDA, William Lukuvi. Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akiwasili Makulu, Dodoma tayari kwa sherehe za uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa ukumbi na majengo ya Ofisi za makao makuu ya chama. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili eneo la Makulu, Dodoma kwenye sherehe za kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa ukumbi na ofisi za makao makuu ya chama. PICHA NA www.ccmchama.blogspot.com
No comments:
Post a Comment