


Baadhi ya wageni waalikwa ndani ya Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika kwenye maadhimisho ya Tamasha la Jinsia Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP).

Baadhi ya wafanyakazi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania wakiwa na wageni anuai ndani ya Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika Ndani yaTamasha la Jinsia.
Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi (katikati) akiwa na baadhi ya wageni waalikwa ndani ya Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika kwenye Tamasha la Jinsia.
Maonesho ya mavazi ya kiafrika ndani ya Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika kwenye Tamasha la Jinsia.
Vivywaji na vyakula navyo katika hafla hiyo vilikuwa ni vya kiasili asili. Hapa wageni wakipata kinywaji aina ya dafu.
Kikosi kazi na waratibu waliofanikisha tamasha la jinsia Tanzania kikitambulishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Usu Mallya (kulia).
No comments:
Post a Comment