Wednesday, January 8, 2014

TUNDU LISSU NA PETER KIBATARA WAKIONGEA NA WANAHABARI BAADA YA HUKUMU YA ZITTO



Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe Tundu Lissu akiwa na Mwanasheria wa chama hicho, Peter Kibatara wakiongea na wanahabari baada ya hukumu ya kesi ya Zitto Kabwe jana Januari 7, 2014

No comments:

Post a Comment