Sunday, April 6, 2014

RAIS KIKWETE, MAMA SALMA WAUNGANA NA WANACHALINZE KUPIGA KURA KUMCHAGUA MBUNGE WAO LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisoma karatasi ya kupigia kura kabla ya kupiga kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Chalinze kwenye kituo cha kupigia kura cha Zahanati Msoga leo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye chumba cha kupigia kura wakati wa kupiga kura za kumchagua Mbunge mpya wa Jimbo la Chalinze leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura yake ya kumchagua Mbunge mpya wa Jimbo la Chalinze.
 Mama Salma Kikwete akiweka kura yake kwenye sanduku la kupigia kura kwenye kituo cha Zahanati Msoga.
(PICHA ZOTE NA FATHER BLOG)

No comments:

Post a Comment