
Yule mganga maarufu wa mastaa nchini ambae aliwahi kutangaza kuwa amekuwa na ukaribu na mwanamuziki Diamond ameibuka na kusema kuwa tuzo hizo saba alizozipata zinamaana kubwa sana kwenye kazi zake anazozifanya.
Akiongea na gazeti hili kwa njia ya simu namba
Aidha Mganga huyo aliendelea kusema" Unajuwa haya mambo ya maagano yapo muziki na miti shamba zinaendana kwani kwenye dunia hii ya leo maadui ni wengi kuliko marafiki kwani wapo watakaokuchukia bila sababu za msingi hivyo ni vyema ukalijua mapema hilo na kujikinga kama ilivyo kwa Diamond" Alisema mganga huyo mwenyeji wHa Mkoa wa Tabora
Hata hivyo mganga huyo aliendelea kuto uwito kwa watanzania popote walipo duniani waendelee kupata huduma zake kwani hii ni kama baraka kwa taifa la Tanzania.
Dokta Kamdege amekuwa akitumiwa sana na vigogo wa Serikali, wasanii na watu mbalimbali duniani kufanikisha mambo yao kwa kuwapatia baraka kupitia miti shamba.
No comments:
Post a Comment