Wednesday, February 4, 2015

RAIS KIKWETE MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA

Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akitoa salamu zake kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman akitoa hotuba yake katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala, Jijini Dar es salaam.
Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya Majaji wastaafu waliohudhulia kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman akisalimiana na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,ACP Suleiman Kova.Katikati ni Kaimu IGP,Abrahman Kaniki.
Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman katika picha ya pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama.
Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman akiongoza maandamano ya Majaji wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman akipokea salamu ya heshima kutoka jeshi la polisi.
(PICHA: OTHMAN MICHUZI)

No comments:

Post a Comment