Tuesday, October 22, 2013

DIAMOND ATOA SALUTI KWA VIDEO QUEEN WAKE

Maneno ya Diamond "Kitu ambacho siku zote siwezi kukisahau katika harakati na siku za Maisha yangu ni jinsi dada wa kwanza nilivyomfata na kumuomba kushoot video na mimi akasema "Siwezi kushoot Video na Ma undergeound"Dah!Iliniuma saaana... Lakini wewe kwa moyo mmoja bila maringo uliamua kunisaidia na kukubali kushoot video na mimi na hatimaye ikaniweka kwenye Ramani... dah! siku zote huwa nakushkuru na kukuombea sana kwa mwenyezi mungu kwani naamini wewe nimmoja ya watu waliofanya hadi mimi kufika hapa... MyVideo Queen Nenda Kamwambie  BestRnBSongof TheYear2009.
CHANZO WASAFI BLOG

No comments:

Post a Comment