ZIARA YA RAIS KIKWETE MAKETE MKOA WA NJOMB
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia ubora wa shati lililotengenezwa na wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi cha VETA cha wilaya ya Makete baada ya kukifungua rasmi chuo hicho mwishoni mwa juma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi Chuo cha Ufundi Stadi cha VETA cha wilaya ya Makete mwishoni mwa juma.
No comments:
Post a Comment