HABARI KWA KISWAHILI
Chama cha walimu Tanzania wametishia kugoma tena baada ya kutoa notisi ya muda wa masaa 48 na kwamba kwa sasa wanakusanya saini za walimu kutoka sehemu mbalimbali za nchi ambazo zitaamua kuendelea ma mgomo au la!
Hatua hiyo imekuja baada ya rais wa chama hicho kudai kuwa aliyeteuliwa kushughulikia mgogoro huo ameshindwa na hivyo wenarejea na mgomo ili kuweza kushinikiza serikali kuwa ongezea mishahara kutokana na kupanda kwa gharama za maisha nchini.
Rais huyo amekaririwa akisema " Hatuna nia mbaya na watoto au wazazi! ila tunattaka kuonyesha masikitiko yetu kwa mwajili wa serikali kushindwa kutatua mgogoro huu" Rais alisema.
**MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE*
NEWS IN ENGLISH
Tanzania teachers Association have threatened to strike again after revealing notice of 48 hours and that are currently collecting signatures of teachers from different parts of the country that will decide keep on strike or not!
Such steps has come after the president of the association claiming that the person appointed handle the crisis has failed and so they have to strike to force government for additional salaries due to the rising cost of living in the country.
President, has quoted saying "We do not have ill to children or parents! But we need show our concern for the government's failure to resolve this crisis," the President said.
** God Bless Tanzania and its People

No comments:
Post a Comment