Friday, August 3, 2012

MAHOJIANO NA PRODUCER JOHNSON MZAVA WASHINGTON DC



Johnson Mzava almaarufu Prince Johnson, akizungumzia historia yake kwa ufupi, pamoja na uzinduzi wa Album ya nyimbo za Injili jijini Washington DC nchini Marekani.
Johnson Mzava akipata picha ya pamoja na mdhamini wa pendo lake katikati pamoja na Pastor Faye Chandler  wa kwanza kushoto pamoja na dogo Barakael aliyebebwa! 

Pauline Johnson Mzava akiimba nyimbo za injili ndani ya studio ya Johnson Mzava iliyopo Washington DC.
Pastor Faye Chandler nae akiimba nyimbo za injili ndani ya studio ya Johnson Mzava iliyopo Washington DC

No comments:

Post a Comment