Tuesday, August 7, 2012

MSAKO MKALI WAANISHWA DHIDI YA MAHARAMIA WA KAZI ZA WASANII

MSANII MOHAMED NICE 'MTUNISI' AKIZUNGUMZA JINSI WALIVYOKAMATA MZIGO FEKI WA KAZI ZAO  KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA STEPS ENTETAINMET YA JIJINI DAR ES SALAAM INAYOSAMBAZA KAZI ZA WASANII NCHINI
MTUHUMIWA WA KURUDUFU KAZI ZA WASANII AKIWA CHINI YA ULINZI BAADA YA KUKAMATWA
MSANII MOHAMED 'NICE' AKILIA KWA UCHUNGU BAADA YA KUKUTA KAZI ZAO ZIKIUZWA KATIKA MOJA YA DUKA MTAA WA MAGILA NA LIKOMA KARIAKOO, LEO


Moja ya gari lililokuwa limejaa kazi feki za wasanii

Baazi ya watu wakiwa wamezagaa kushudia ukamatwaji wa kazi za wasanii mtaa wa Magili na Likoma Dar es salaam leo
Baadhi ya wasanii pamoja na askari polisi wakiwa wamerizingira duka lililokuwa linauza kazi feki
Gari lenye namba za T 608 BWD lililokamatwa na kazi mbalimbali za wasanii zikiwemo zinazosambazwa na Kampuni ya Steps ya jijini Dar es salaam
BAADHI YA KAZI FEKI ZA WASANII ZILIZOKAMATWA LEO

No comments:

Post a Comment