Hizi ni baadhi tu ya picha za matukio mbalimbali ya mkutano wa Chadema uliofanyika jijini London jana ambapo pamoja na wanachama wengi wa CCM kurudisha kadi kwa kuvua Magamba na kuvaa Magwanda, pia ulifanyika uchaguzi wa viongozi wa mpito ambapo CHRIS LUKOSI alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA London na CHRIS CHAGULA alichaguliwa kuwa Kaimu Katibu na Katibu Mwenezi wa Chadema jijini London. Watu walijitokeza kwa wingi sana na mkutano ulifunika vilivyo.
No comments:
Post a Comment