Meneja Uhusiano wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Bi. Badra Masoud (kushoto), akionesha moja ya mita za umeme wa LUKU za shirika hilo, zilizokamatwa pamoja na vifaa vingine kwenye nyumba namba 182 Mwananyamala A, wakati wa operesheni ya kukamata wezi wa umeme, Dar es Salaam jana. Kulia ni mtuhumiwa aliyekamatwa na vifaa hivyo, Bw. Said Ibrahim
No comments:
Post a Comment