Wednesday, August 8, 2012

SIMBA WATOA TUZO KWA WADHAMINI WAO


Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geofrey Nyange Kaburu akimkabidhi Meneja wa Kilimanjaro, George Kavishe tuzo ya heshima kutokana na mchango wao mkubwa katika mafanikio ya klabu hiyo. Tuzo hiyo imetolewa leo wakati wa sherehe za siku ya Simba. Anayeshuhudia ni mgeni rasmi katika hafla hiyo, Profesa Philemon Sarungi

No comments:

Post a Comment