Huu ndo ujumbe alioutoa msanii Diamond:
"Najua watu wengi sana mnapenda couple hii na furaha yenu ni kutuona wawili sisi tukiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi......na mmekuwa mkifurahi sana na stori za hapa na pale mkisikia wawili sisi tumekuwa pamoja na hata pindi mkituona tuko pamoja pia mmekuwa mkishangilia na kufurahi.........
But ukweli ni kwamba mimi na wema si wapenzi.Tumekuwa ni dada na kaka ama marafiki tu wakawaida ambao tumekuwa tukishirikiana katika kazi mbali mbali za sanaa na nje ya sanaa katika harakati za kujenga taifa letu.......
Pia ni vizuri ningepnda mfahamu kwamba wema ana mpenzi wake ambaye amfahamu na tunaheshimiana kama mtu na shemeji yake......So das' de truth abt me and her....and get read kwa kazi tofautitofauti ambazo soon zitadondoka"......Diamond
No comments:
Post a Comment