Leo Septempa 19 ndio siku ya kuzaliwa Kamanda Ras Makunja. Mwanamuziki Ebrahim Makunja a.k.a Kamanda Ras Makunja, Kiongozi wa Ngoma Africa band maarufu "FFU Ughaibuni" alizaliwa siku kama ya leo jijini Dar-es-Salaam miaka kadhaa iliyopita. Tunamtakia maisha marefu Kamanda Ras Makunja!
No comments:
Post a Comment