Sunday, September 30, 2012

KOCHA MPYA WA YANGA AMWAGA WINO


Kocha mpya wa Yanga, Mholanzi Ernstus Wilhelmus Johannes Brandts akisaini mkataba wa kuifundisha timu hiyo huku akishuhudiwa na Makamu Mwenyekiti wa Timu hiyo, Celemnt Sanga. Wilhelmus aliyewahi kuicheza timu ya taifa ya Uholanzi mwaka 1977 - 1985 amekuja kuziba nafasi ya kocha Tom Saintfiet aliyetimuliwa hivi karibuni
Team alizowahi kufundisha :
1993–2002     PSV Eindhoven (Timu ya vijana)
2002–2004     RKSV Nuenen
2005–2006     FC Volendam
2006–2008     NAC Breda
2009 -    Rah Ahan
2010–     APR FC

No comments:

Post a Comment