Bondia Cheka (kushoto) akimshambulia Kalama Nyilawila kwa masumbwi wakati wa mpambano wao uliofanyika jana usiku. Cheka alishinda raundi ya sita baada ya Kalama kashindwa kuendelea. |
Bondia Kalama Nyilawila (kulia) akijitahidi kukwepa makonde ya mpinzani wake Francis Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika jana usiku. |
Mabondia Kalama na Francis Cheka wakizidi kutupiana masumbwi.
Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
|
No comments:
Post a Comment