Friday, October 5, 2012

JUKWAA LA SERENGETI FIESTA 2012 LITAKUWA KAMA HIVI



Huu ni mfano wa Jukwaa la  Serengeti fiesta 2012 ambalo pia  mkali kutoka  Frolida Marekani Rick Rozay atakanyanga  kwa ajili ya  kuwapa  shangwe mwapenda burudani wote katika nchi hii ya Jk ambao watajitokeza  katika viwanja vya Leaders Kindondoni jijini Dar akiwa  sambamba na wakali kibao kutoka  bongo Fleva.
Bhaaaaaass

No comments:

Post a Comment